Mwivuza one
New Member
- Jan 12, 2014
- 3
- 0
siasa ya TZ yaandaa shimo la kuizika elimu kama ;
1.kufutwa kwa somo la sayansi kilimo kwa shule za msingi hali kilimo ndo uti wa mgongo wa nchi yetu.
2.kuondolewa kwa sayansi kimu hali ndo liliwasaidia wanafunz wa shule za msingi kuweza kuhitimu wanajua suala zima la usafi ,usaf wa watoto wachanga,jinsi ya kuandaa mlo kamili ,kuandaa vyakula kulingana na muda na umri wa mtumiaji kama wazee,watoto nk.
3.kupewa hesabu za kuchagua
4.kuminywa kwa somo la siasa hali inayowafanya washindwe kujua ha