Umeligundua tatizo ila kwa makusudi au bahati mbaya umeamua kutokutaka kusema nini kifanyike. Naona muendlezo wa kile ambacho tayari unakiamini kuwa hata elimu uliyo nayo haikusaidii kubadili hali ya yako binasfi na ya jami yako.
Nachotaka kusema ni kuwa, kwa tuhuma hizo hapo juu kuhusiana na mfumo wa elimu hapa TZA ulipaswa pia uwe na njia mbadala ya kubadili hali. Uziweka hapa njia mbadala hizo ili tuzijadili kwa kuhusianisha na mfumo uliopo sasa.
Inabidi tufike pahala na kutambua kuwa LAWAMA hazitasaidia katika kubdali jinsi mambo yanavyofanywa.
Salaams. Mie nasikitika sana kuona kwamba kumbe mfumo wetu wa elimu uliundwa kwa lengo moja tu, nalo ni kuwafanya watanzania wawe na mtindio wa akili. Unamaliza chuo, unapata cheti kizuri halafu kampuni la mwekezaji linakuambia huna maarifa ya kutosha kupata ajira kwangu. Halafu linasema hata kiingereza hujui sawasawa kwa hiyo hamna kazi...tunatafuta wenye ujuzi kenya. Tufanye mapinduzi gani kuokoa mfumo wa elimu Tz?
Let me first use ths opportunity to spray fantastic thnks for jf members'ability to thnk&consider! Mm n mmoja wa candidates 4m4 tuliohtimu mwka jana! Wakati nlipokuwa shule,kuna mwl mmoja wa kikenya aliwah kutuambia kuwa,mfumo wetu wa Elimu ulharbiwa hapo awal baada ya Mzee,baba wa taifa kuhalalisha kuwa,alikuwa na lengo la kuanzisha elimu kwa watanzania ili wajue kuhesabu,kusoma na kuandika tu na akatuambia kuwa leo hii if u wanna to control an investigations waweke pamoja Mtza na mkenya thn ask thm to write down an essay of a certain topic! Utagundua kuwa,Mtza ni m2 matata sana kwnye kuandika kulko mkenya n all's b,se ndo tulivyofundishwa(kuhesabu,kusoma&kuandika)! After then,haohao wawil wape debate tu tena nyepec thn allow thm to give out points n ask to analyze their points! Smthng u'll investigate that Wakenya n wataalamu wazuri sana wa kuzungumza kulko watza n hii n kw sbb wao ndivyo wanavyofundishwa! Pia ki2 kingne yule mwl alisema,"Tanzanians have mixed two languages at the same time,see how poor they are,national language is swahil but they teach their young generations using foreign lang,how comes! It's a tyranny to tzans b,se they wanna not to give out serious decisions on matters like these!" Nawasilisha kw kusema kwamba,hebu sasa tufikie sehemu wanajf tujarbu kulijadili hli kikamilifu thn n kipi kifanyike kw nch yetu tuokoe tyranny hzi hii n serious topic,ckuiona hapo awal congltns uliyeligundua hli na kulileta hapa janvin,lkn naamin penye wng hapaharbiki kitu,wanajf tusilipuuze hli!
This are general comments..
Hapo kwenye red nadhani ndipo penye shida,
1). Unamaliza chuo: Elimu haina mwisho, kujiendeleza kielimu kusiishie pale mtu amefanya graduation na kupata hand-shake ya kiongozi fulani. Jiendeleze wewe mwenyewe na siyo tu kufuata syllabus bali katika mambo mengi tu ambayo yatakusaidia kikazi na kimaisha. Wengi labda wakishamaliza level fulani ndio basi, personal development endevours hazifanyiki, mfano, miaka mingi tu tunasema lugha za kigen i kwetu ni shida sana, sasa tumefanyaje kutatua hilo tatizo, zaidi ya kupotema muda mwingi kuangalia na kuzungumzia mechi za europa, nadhani muda huo ungetumika kujiendeleza, lini umechukua novel au reading material yoyote zaidi ya gazeti la sani/Udaku?
Ndio elimu nia moja ni kupata ajira, lakini pia itumike kujiendeleza mwenyewe.
2). Cheti kizuri:
Hicho cheti kinatumia kiwango kipi, je 30% ni pass mark?
Cheti katika kutambua ujuzi na uwezo wa mtu kwenye ajira ni %ge ndogo sana, je katika hiyo ajira, upo tayari kuelimishwa au umefurahia cheti ulichonacho, zaidi ya cheti, ni nini umefanya kujiongezea uwezo kikazi, kielimu na kwa ujumla.
Mapinduzi...
Comments nyingi hapa JF huonekana punde matokeo ya mitihani yanapotoka, manunguniko mengi tu, lakini inaonekana kuwa hamna chochote hubadirika kwani next time, tunaongelea yale yale. mapinduzi itabidi yawe ya mtu mmoja mmoja kuona na kudhamini umuhimu wa elimu.
Tutalalamika kuwa wenye nazo wanaweza kuwasomesha watoto wato shule private, ndio, lakini je hizo private au International ni jina tu au kweli kuna level tofauti na shule za kata. Mzazi mlezi tumia muda wako kuhakiki kuwa mtoto anaambulia kitu shuleni at least kila siku. Mzazi/mlezi kushinda baa na kuwa mkali endapo mtoto ataomba pesa za kununua vitu muhimu vya elimu wewe unakuja juu na baadae kuilaumu serikali kwa ujinga ulioufanya mwenyewe sidhani kutatusaidia.
Labda kuna ishu ya ukweli kuhusu ajira za makampuni fulani na upendeleo usio wa lazma kwa watu wanaotoka nchi zingine, kutatua hili ni kuwa wawajibikaji tunapopata hizi kazi, na kujua kuwa ukishaipata hiyo kazi basi isiwe mwisho wa kujiendeleza kielemu pia.
All the best in your job hunting efforts...
Point noted Sir HLet me first use ths opportunity to spray fantastic thnks for jf members'ability to thnk&consider! Mm n mmoja wa candidates 4m4 tuliohtimu mwka jana! Wakati nlipokuwa shule,kuna mwl mmoja wa kikenya aliwah kutuambia kuwa,mfumo wetu wa Elimu ulharbiwa hapo awal baada ya Mzee,baba wa taifa kuhalalisha kuwa,alikuwa na lengo la kuanzisha elimu kwa watanzania ili wajue kuhesabu,kusoma na kuandika tu na akatuambia kuwa leo hii if u wanna to control an investigations waweke pamoja Mtza na mkenya thn ask thm to write down an essay of a certain topic! Utagundua kuwa,Mtza ni m2 matata sana kwnye kuandika kulko mkenya n all's b,se ndo tulivyofundishwa(kuhesabu,kusoma&kuandika)! After then,haohao wawil wape debate tu tena nyepec thn allow thm to give out points n ask to analyze their points! Smthng u'll investigate that Wakenya n wataalamu wazuri sana wa kuzungumza kulko watza n hii n kw sbb wao ndivyo wanavyofundishwa! Pia ki2 kingne yule mwl alisema,"Tanzanians have mixed two languages at the same time,see how poor they are,national language is swahil but they teach their young generations using foreign lang,how comes! It's a tyranny to tzans b,se they wanna not to give out serious decisions on matters like these!" Nawasilisha kw kusema kwamba,hebu sasa tufikie sehemu wanajf tujarbu kulijadili hli kikamilifu thn n kipi kifanyike kw nch yetu tuokoe tyranny hzi hii n serious topic,ckuiona hapo awal congltns uliyeligundua hli na kulileta hapa janvin,lkn naamin penye wng hapaharbiki kitu,wanajf tusilipuuze hli!
Katoto et all,
Can I volunteer an argument that education is an expensive exercise and the reliance on the government to tackle this cost has/is proving to be an uphill struggle and an alternate means to finance education is required.
The cost of education should still remain equitable, to mean the derived benefit should be realized as a gain on the expenditure incurred. For example, in the so called ST fulani and International schools, fees can amount to tens of millions of shillings per annum at primary and secondary levels (Please don't mention kindergarten here ), now compare that to the derived income that can supposedly be gained from having followed this track of education over a lifetime you will find that the whole exercise becomes futile.
Not to repeat myself, please see the following article where I tried to work out such numbers with a given school in mind.
Now, what should the cost be?
Is the education sector payroll being managed diligently? The answer is a resounding NO, following the on-going saga of ghost workers creaming a chunk of the meager resources available at the moment. Is the payroll size enough? Are there enough teachers for all the subjects that industry is requiring from the new crop of graduating students each year?
Are the teaching staff valued and accorded the necessary rights to perform their duties beyond telling them ualimu ni wito.
For arguments sake, Felix has emerged into the job market at the age of 25, and is looking forward to a 35 yr career, this takes into account the retirement age of 60yrs. Say he is lucky to earn 2M per month that will amount to 840Million over his career period.
Felix attended schools that cost around 5Mil on average over the years that taking into account all possible costs for education. That will amount to (16yrs X 5Mil) = 80 Mil.
Taking the cost v the gain of 80Mil v 840Mil, is around a 1/10[SUP]th[/SUP] of the earnings, maybe this is a good number, but picture this, Felix is blessed with 3 children who will using the same figures of their fathers education cost will mean of his 840Mil, that will be used for educating the children will be around 240Mil before they join the job market.
If my figures are very optimistic, it shows that the reality of simply spending without taking a critical look at this would mean that money is simply being poured down the drain
Is there an adequate breath of education provision in the country?
Name me a technical college and will drop this argument, I need a couple of polytechnics, alternate education provision for those who simply dont need to get to University. Many of the olden day institutions have matured or been forced to grow into Universities, offering a milliard of certifications that is laughable at best. This uninformed move have resulted in a vital engine room part of education to be discontinued in the country, we all seek to sit air conditioned offices. Forget the spanner wielding sector of any economy and the result is a fragmented education system, never able to meet the needs of the economy.
What other queries come to mind,
- What education system and what economy is being serviced?
- Is there a cheaper alternative for educating our pupils?
- What capacity is required in industry?
Katoto et all,
Can I volunteer an argument that education is an expensive exercise and the reliance on the government to tackle this cost has/is proving to be an uphill struggle and an alternate means to finance education is required.
The cost of education should still remain equitable, to mean the derived benefit should be realized as a gain on the expenditure incurred. For example, in the so called ST fulani and International schools, fees can amount to tens of millions of shillings per annum at primary and secondary levels (Please don't mention kindergarten here…😉, now compare that to the derived income that can supposedly be gained from having followed this track of education over a lifetime you will find that the whole exercise becomes futile.
Not to repeat myself, please see the following article where I tried to work out such numbers with a given school in mind.
Now, what should the cost be?
Is the education sector payroll being managed diligently? The answer is a resounding NO, following the on-going saga of ghost workers creaming a chunk of the meager resources available at the moment. Is the payroll size enough? Are there enough teachers for all the subjects that industry is requiring from the new crop of graduating students each year?
Are the teaching staff valued and accorded the necessary rights to perform their duties beyond telling them "ualimu ni wito".
For arguments sake, Felix has emerged into the job market at the age of 25, and is looking forward to a 35 yr career, this takes into account the retirement age of 60yrs. Say he is lucky to earn 2M per month that will amount to 840Million over his career period.
Felix attended schools that cost around 5Mil on average over the years that taking into account all possible costs for education. That will amount to (16yrs X 5Mil) = 80 Mil.
Taking the cost v the gain of 80Mil v 840Mil, is around a 1/10[SUP]th[/SUP] of the earnings, maybe this is a good number, but picture this, Felix is blessed with 3 children who will using the same figures of their fathers education cost will mean of his 840Mil, that will be used for educating the children will be around 240Mil before they join the job market.
If my figures are very optimistic, it shows that the reality of simply spending without taking a critical look at this would mean that money is simply being poured down the drain…
Is there an adequate breath of education provision in the country?
Name me a technical college and will drop this argument, I need a couple of polytechnics, alternate education provision for those who simply don't need to get to University. Many of the olden day institutions have "matured" or been forced to grow into Universities, offering a milliard of certifications that is laughable at best. This uninformed move have resulted in a vital "engine room" part of education to be discontinued in the country, we all seek to sit air conditioned offices. Forget the spanner wielding sector of any economy and the result is a fragmented education system, never able to meet the needs of the economy.
What other queries come to mind,
- What education system and what economy is being serviced?
- Is there a cheaper alternative for educating our pupils?
- What capacity is required in industry?
I like your arguments and the main point you've raised on the costs of education in Tz. Indeed, the cost-benefit analysis perspective sheds much light on the nature of our education system. However, let's step down to the real world and see, using our senses, what actually happens on the ground and what is behind it. The crux of the problem may not be so much linked to the cost of education, in practical terms. By saying this, I do not mean that the theoretical cost-benefit analysis approach you espouse is unimportant. It is important but probably not essential. The essence of the problem, in my view, can be traced by analysing the viability of the basic education in our schools. Let's get somewhere beyond costs and benefits. Otherwise, I appreciate your well-thought out ideas and the language fluency with which you've expressed them. Shukran!
Mbona busara unayo already ya kuona nini ni cha maana hapa JF. Kama mtu aliye kwenye "game" sasa hivi tueleze ni nini unacho'ona kinaendelea katika elimu, je mpaka sasa (form 4), wamekuandaa vipi kuendelea na shule au kazi?
Bro kot,leave our gvt be only for the richiest p'ple within our country.See how we suffer in our ward schools,the so-called"yeboyebo".No teachers wth experiance,teaching an learning equipments! The executive starts these schools but they are not well-abled to support them.Apart from that,where do children and relatives of their own accumulate their education? Why could'nt send them in these schools they opened? Why could not show the example to confirm that there's no racism as our father used to say? If they have managed to send their children at the highest expenses,why could not support even these yeboyebo schools?
Bro kot,there's a great link twixt those who they haves and those who they have-nots.