SoC04 Elimu ya ufundi stadi chachu ya maendeleo

Tanzania Tuitakayo competition threads

Khairoonisai

New Member
Joined
Aug 26, 2022
Posts
4
Reaction score
2
UTANGULIZI
khairooni ni kijan wa kike aliyeamua thubutu na kujiamin kupambania karamu yake juu ya kutengeneza tanzania. Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyez mungu kwa kunipa uhai na afya .pia napenda kuwashukuru jamii forums kwa kuanzisha shindano hili kwani linatoa fursa kwa vijan na jamii kwa ujumla kufikisha maono yao juu ya nyanja mbalimbali. Mimi ni miongoni mwa washiriki wanaoshiriki shindano la "stories of changes 2024".

NINI MAANA YA VETA
kwanza awali ya yote lazima tuelewe nini maana ya veta na kwanin nasema veta ni chachu ya maendeleo kwa jamii na kuleta mabadiliko kwa miaka 5 hadi 25 ijayo.
Veta ni mamlaka ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi ilianzishwa kwa mujibu wa sheria ya bunge NO 1 ya 1994 na kupewa majukumu ya kuratibu na kusimamia kutoa ,kuendeleza na kugharamia elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini. Kupitia sheria ya bunge NO 1 ya 1994 illipa nafasi veta kuanzisha "mfumo bora wa elimu na mafunzo ya ufundi (VETA BOARD)" ambayo inawajibika katika utendaji na uwendeshaji wa shughuli za mamlaka. Veta ina misingi mikuu nwili ambayo ni DIRA na DHIMA
DIRA " ni mfumo bora wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi wenye uwezo wa kuisaidia maendeleo ya uvhumi na kijamii katika muktadha wa kimataifa.
DHIMA " kuhakikisha elimu na mafunz ya ufundi stadi inatolewa kwa ubora kulingana na mahitaji ya soko la ajira kwa udhibiti thabiti ,utaratibu ,ugharimiaji na uenezaji kwa kushirikiana na wadau "

UMUHIMU WA VETA NCHINI
KUPANUA WIGO WA AJIRA KWA JAMII
; kupita mafunz mbalimbalinyanayotolewa na veta yanaongeza chachu ya ajira kwa vijana na jamii kwa ujumla kutoka na ujuzi wanaopata wanakuja kuendelez kwa jamii inayowazunguka na kuwapa vijana wengine mtaani.
CHANZO CHA MAPATO;
kupitia veta kunapelea kupatikan kwa mapato kwa serikkali na mtu binafsi kutokan na fani mbalimbali kam ufund selemala , ufundi magar ,ushonaji fani zote hizi zinawaigizia kipato mtu mmoja mmoja na serikali kwa jumla kwa kulipia kodi kupelekea payo la serikali.
UBUMBUZI WA VIPAJI
veta imekuwa chachu ya kugundua vipaji mbalimbali na kuviendeleza vinavyopatikan katika jamii kupitia vipaji hivyo vimekuwa na tija na msaada mkubwa kwa serikali na kupelekea ongezeko la viwanda vidogo vidog kuwa vingi na vijan kupat ajira endelevu.

NINI KIFANYIKE KUIPA DHAMANI ELIMU YA MAFUNZO YA UFUNDI STADI .
serikali kutoa mikopo katika vyuo hivi vya ufundi hii ni kwasababu wanafunzi wengi wanaosoma vyuo hivi vya ufundi baad ya kumaliza masoma yao asilimia kubwa wanakosa mitaji ya kuendeleza fani zao na kupelekea wengi wao kwend kufanya fani ambazo hawan uzoefu nazo na ujuz wake kwasababu tu alikosea pesa ya kurendeleza fani yake baada ya kumaliza mafunzo. Ikiwa serikali itawapa mikopo itawasaidia kwanza baada ya kumaliza mafunzo wawe na uwezo wa kuanzisha mani aliyosomea na kusaidia vijan wengine ambao hawakupatq nafas ya kusom veta.kupitia serikali kwa kuwapa mikopo ya pesa au vitendea kazi hii itapelekea kuzalisha jamii ambayo haitakuwa tegemez kwa serikali kwa suala la ajira na kutufikisha katika malengo yetu ya tanzania tuitakayo ya miak 5 had 25 ijayo.

Kuanzishwa kwa elimu ya ufundi standi kutokea ngazi ya chini kabisa ya elimu had juu vyuo vikuu hii itasaidia kwenye njanja mbili kuu moja itatengeneza taifa la vijan wanao jitegemea mwenyew pili itatengeneza taifa ambalo linajiamin na kuwa na mawazo mchanganuo kwasababu zifuatazo asilimia kubwa ya elimu yetu tunasoma elimu ya makaratasi ambayo kesho na kesho kutwa kijan akimaliza chuo kikuu kile alichosomea hawez kukitumia kwenye jamii kwasababu hakiendani na maitqji ya jamii inayomzunguka kutokan na tatiz hilo ongezeko la ukosefu wa ajira ni kubwa san nchi na wasomi wengi hawana ajira. Ila kam serikali kupitia wizara ya elimu ikatengeneza mikakati himara huku chini kwenye ngaz ya msingi wanafunz wakasom kwa vitendo zaid kuliko makaratasi itakuja kuzaliwa vijan wengi wenye tija na mchango mkubwa san kwa jamii ndan ya miak mitano had 25 ijayo .kam mwanafunz anasom ufumaji bas afume kweli ajifunze kam anasomo uchingaji uchongeji kweli bas achonge kweli alifunze hii itapelekea kuwa na uwelewa na uthubutu wa kufanya jambo bila woga na wasiwasi .

Mfumo wa elimu uwe wa vitendo zaid , hii ni kutokan dunia inakuwa san saiv kutoka na teknolojia kila kitu kinafanya kiteknojia zaid na kurahisha baada ya shughuli kuwa zinafanyika kwa uharak zaid. Kam teknolojia inakuwa kwa kasi siku had siku hii inapelekea hat wizara yetu ya elimu kuja na mifumo itakayoendan na dunia inavyokwenda kwa sasa kwasababu kam hakutqkuwa na mifumo mizur ya elimu bas hat veta haitawez kufanya kazi kwa weled na ufanisi nzur kabisa.kutoka na hili wizara ya elimu kuja na mawaz chanya yenye kuleta matokea chanya kwa jamii na yenye fursa.

Vyuo vya veta vipewe heshima kam vyuo vingine, hii nikiwa na maana ya kwamba asilimia kubwa ya jamii inamtazamo kuwa vyuo vya veta vipo kwa ajili ya yatu waliofeli shule au walioshindwa kusoma shule lakin siyo kwel veta ni chuo kam chuo kingine tofauti yake tu veta wanatoa elimu kwa vitendo zaid kuliko vyuo vingine. Kutokan na hiyo tamaduni serikali kupitia wizara ya elimu inatakiwa kuja na mikakati madhubuti ambayo itasaidia kuondoa mawazo hasi kwa jamii juu ya veta na kuipa thaman kuwa ni chuo kam vyuo vingine nchini. Kwa kutoa motisha mbalimbali kwa wanafunzi ,kuwashurikisha katika makongamano mbalimbali yanayofanyika katika vyuo vikuu nchini hii italeta ushirikian mzuri bain ya wanafunz, taasisi na vyuo vyenyewe katika sekta mbalimbali .

Vyuo vya veta viingie katika ushindani kam vyuo vingine kuleta mapinduzi ya kifikra katika jamii kwasababu kupitia ushindani huu piq itatowa mwanya kwa jamii kuwa na ulewa mzuri juu ya vyuo vya veta na kuvipa mtazamo mzur kwa jamii ya sasa na ya badaye.

HITIMISHO
kufikia tanzania tuitakayo ni lazima tuwanze sasa kutengeneza sera na kanuni imara na madhubuti kwa ajiri ya matokeo mazur ndani ya miak 5 had 25 ijayo. Taifa lolote linalotaka kuendelea lazima liwe na vyanzo imara vya kufanya kufikia malengo hayo mfano hai teknolojia inakuwa san kwa kasi zaid na kufanya dunia kuwa kiganjani kwasababu hiyo tunaitaji elimu ya ufundi stadi kuwa sambamba na teknolojia inavyokwenda hatuwez kuwa na viwanda kam hakun ujuzi na ustadi , hatuwez kuwa na uzalishaji kam hatun ujuzi na weledi pia hatuwez kuwa na rasilimali kam hatuna vitendea kazi hiv vitu vyote vinatokan na veta . Lazima tukubali katika hatua ya maendelea ya tanzania tuitakayo lazima tusongembele tukiwa nyuma yetu kuna taasisi kam veta itakayozalisha vijan wenye ujuzi ,ustadi na weledi wa kufanya jambo na kubuni vitu mbalimbali. Lazima serikali itengeneze mazingira rafiki kwa pande zote mbili mnufaika na mtoaji kusud tutengenez tanzania yet imara na yenye wavumbuzi mbalimbali wenye tija kwa jamii .

Mwisho kabisa napenda kuwashukuru sana jamii forum kwa kuandaa shindano hili lenye lengo la kufumbua vipaji na maon ya mtu mmoja mmoja kwa lengo la kujenga tanzania yetu tuitakayo.
 
Upvote 5

Mawazo mazuri xana....more appreciation
Chapisho zuri Sana 👏
Mawazo mazuri xana....more appreciation
 
Back
Top Bottom