Ni hivi vijana wengi waliosoma Uganda walipelekwa huko wakiwa Teenage (10-20 years) sasa ule UHURU wa kukaa peke yao tena mbali sana na nyumbani na wengi wao huishi GHETTO) (na si Hosteli) huishia Kupakatana na kuanzisha mahusiano ya Jinsia moja
na ukizingatia Uganda suala la Ushoga limeshika kasi so hakuna kipingamizi hata jamii inayowazunguka, Wanaharakati wa Ushoga hupita mashuleni kutoa elimu jinsi kujiunga na Taasisi za Mashoga nchini humo,
Zaidi vijana hupewa Kondomu ili wajilinde magonjwa pindi wakifilimbana. Ewe mzazi mwenye mtoto wako nchini UGANDA chukua tahadhari sana kwa mtoto wako aliye huko. Mzee Mu-7 mpaka anafikia hatua ya kupitisha ile sharia aliona tatizo ni kubwa mno hasa kwa vijana,
ingawa Sheria ile imefutwa sasa so kama dawa!!!!