angazabade
New Member
- Feb 27, 2018
- 3
- 3
Leo nimependelea kushilikiana nanyi elimu hii ya ujasiliamali,karibuni kuchangia zaidi ili tupeane ujuzi zaidi;
Mjasiliamali
- ni mtu anayeiona fursa na kuifanyia kazi,
Ujasiliamili
- ni yale matokeo baada ya kuifanyia kazi fursa, Fursa malanyingi huwa ni changamoto iliyopo au tatizo au swali lisilo na jibu, mfano-aliye tengeneza/kubuni umeme aliiona changamoto ya giza kama fursa kwake.
Kwahiyo unapo fikilia kuwa mjasiliamali yako mambo muhimu unayopaswa kuyajua na kuyazingatia, nayo ni haya
1. Ione na kuitambue fursa
-hapa unapaswa kujua ni changamoto gani iliyopo katka eneo ulipo ili uifanye kuwa fursa kwako.baada ya kuitambua fursa
2. Tafuta suruhisho
-hapa unapaswa kujua ni kwa namna gani utatatua hiyo changamoto kwa kuigeuza kuwa ujasiliamali,mfano- uko katika mkoa wenye baridi, baridi itakuwa ndio changamoto ya mahali hapo, suruhisho yaweza kuwa kutafuta nguo za baridi na hapo tayari changamoto itageuka kuwa ujasiliamali kwani utaweza kuanzisha biashara ya either uuzaji wa masweta nk.Na hapo tayari fursa itakufanya kuwa mjasiliamali