Elimu ya ukaririshaji tanzania

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
Kusema ukweli mfumo wa elimu ya tanzania bado hipo chini/duni.wanafunzi wanapoanza shule za msingi ufundishwaji wao hauzingati vitendo vya kumwelekeza mjifunzaji.
Tumeishia kukariri na mwishowe kutofikiri kwa upana.

Mfano mzuri ni elimu ya sekondari/upili,huwa kuna majaribio ya kisayansi takribani masomo 5.lakini most of schools doesnt have laboratory.

Eti serikali inaandaa wataalamu,uku ikiwa imeshindwa kuendeleza shule za KATA ambazo zinazidi kufelisha wanafunzi.
Shule binafsi zanazodhaminiwa na kumilikiwa na watu/mashirika binafsi ndizo zinazotoa best students.

Mitaala mibovu isiyojitosheleza kutumiwa,elimu hii hii ndio inayotoa VIONGOZI wasio kua na upeo.

'kama ndiyo hivyo tunafanyeje kuleta changamoto za elimu tanzania??'

Tukiachana na hayo elimu kwa ngazi ya familia bado,baadhi ya makabila ukumbatia na kuendeleza Mira Potofu.
Naombeni nishie hapo make mengi machafu kuhusu elimu duni ya tanzania.
 

so unashauri nini kifanyike labda
 

wengi walishaongeeeeeea wakanyamaza mwishowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…