SSMashinji
Senior Member
- Aug 10, 2023
- 129
- 191
VVU na UKIMWI ni changamoto kubwa ya kiafya duniani, lakini kwa elimu sahihi, upatikanaji wa huduma za afya, na matumizi sahihi ya dawa, maambukizi yanaweza kudhibitiwa na maisha ya walioathirika kuboreshwa.
Lakini unajua shida nini hadi dawa zao haziwezi thibitishwa na hata kutangazwa ?
kwa mtazamo wangu ni kua ikisemekana dawa imepatikana tu, biashara za wengi sana plus viwanda vingi sana vya walio ishikilia dunia vitakufa, ikiwemo kiwanda cha ARV's , Condom na vingine ongezea mwenyewe.
hamna kitu cha bure hapa duniani lakini ulishawahi jiuliza kwanini hivi vitu vya majanga ya kimataifa hua ni bure, au ndio kuwageuza waathirika test objects [spacemens] kwamba kama ni madhara yawaanzie wao?
tutafika tu lakini africa kuna aina moja tu ya ARV inayo ingizwa kati ya hizi, hapo ndio utakapojua ni biashara ya mtu na spacemens wake anaowapelekea wapigwe na side effects ka milion ili maboresho yafanyike sio ya tutafta tiba lakini ya kutafta njia nzuri ya kutanua biashara maana side effects pia zitahitaji matibabu

uzima upo kwakua huo sio ugojwa ni upungufu wa kinga mwilini kwaio hata kwa lishe nzuri na kufuata maelekezo yote ya watabibu ambao hata wao wanaogopa kuupata upungufu huo.😅
LINDA AFYA YAKO KUNA MAGOJWA MENGI TU YANAYOWEZA KUKUONDOA KWA MATESO KULIKO HATA HUU AMBAO UNARUHUSIWA NA KUNYWA KAMNYWESO.
KUA MUATHIRIKA SIO KOSA. KOSA NI KUTO LINDA WENGINE NA KUUSAMBAZA MAKUSUDIKALE, PIA KUSA KUBWA ZAIDI NI KUWANYANYAPAA WALIO KUBWA NA KAJANGA HAKA.
Be Blessed😷👨⚕️
Utafiti na Maendeleo kupata tiba tofauti na iliozoeleka ya hadi kifo.
Utafiti kuhusu tiba ya VVU/UKIMWI unaendelea na kumekuwa na maendeleo kadhaa:- Gene Editing (CRISPR): Teknolojia ya kuhariri jeni inaonyesha matumaini katika kuondoa VVU kutoka kwenye seli zilizoambukizwa.
- Matibabu ya Kinga (Immunotherapy): Utafiti unafanywa juu ya matumizi ya matibabu ya kinga ili kusaidia mfumo wa kinga kuondoa VVU.
- Chanjo za VVU: Kuna juhudi za kutengeneza chanjo inayoweza kuzuia maambukizi ya VVU.
Lakini unajua shida nini hadi dawa zao haziwezi thibitishwa na hata kutangazwa ?
kwa mtazamo wangu ni kua ikisemekana dawa imepatikana tu, biashara za wengi sana plus viwanda vingi sana vya walio ishikilia dunia vitakufa, ikiwemo kiwanda cha ARV's , Condom na vingine ongezea mwenyewe.
hamna kitu cha bure hapa duniani lakini ulishawahi jiuliza kwanini hivi vitu vya majanga ya kimataifa hua ni bure, au ndio kuwageuza waathirika test objects [spacemens] kwamba kama ni madhara yawaanzie wao?
tutafika tu lakini africa kuna aina moja tu ya ARV inayo ingizwa kati ya hizi, hapo ndio utakapojua ni biashara ya mtu na spacemens wake anaowapelekea wapigwe na side effects ka milion ili maboresho yafanyike sio ya tutafta tiba lakini ya kutafta njia nzuri ya kutanua biashara maana side effects pia zitahitaji matibabu

Aina za Dawa za ARVs:
- Nucleoside Reverse Transcriptase Inhibitors (NRTIs):
- Zidovudine (AZT)
- Lamivudine (3TC)
- Tenofovir (TDF)
- Non-Nucleoside Reverse Transcriptase Inhibitors (NNRTIs):
- Efavirenz (EFV)
- Nevirapine (NVP)
- Protease Inhibitors (PIs):
- Lopinavir/Ritonavir (LPV/r)
- Atazanavir (ATV)
- Integrase Strand Transfer Inhibitors (INSTIs):
- Raltegravir (RAL)
- Dolutegravir (DTG)
- Entry Inhibitors:
- Maraviroc (MVC)