Elimu ya ulipaji kwenye makapuni ya kuagizia magari

Joined
Sep 4, 2014
Posts
7
Reaction score
1
Bhana we nataka kuagiza gari kutoka beforwad kwa mara ya kwanza, sasa ni hivi kuna kitu kinanichanganya hapa wanapoandika Dar es Salaam+clearing ina maanisha hapo mpaka TRA wanamaliza au hiyo clearing imesimama kwaajil ya nshu gani. Mana kuna dar es salaam bila neno clearing.
 
Clearing wanayomaanisha ni Agent fee(gharama za wakala atakae toa gari bandarini) ambae ni wao wenyewe,gharama nyingine kama kodi,port charges utalipa wewe mwenye aidha kwa kuwapatia walipe ama utalipa bank mwenyewe
 
Hizo ni gharama za Beforward pekee. Rungu la TRA na bandari bado.
 
Hapana hiyo ina maanisha kwamba be forward watakupa pia huduma ya kukutolea gari bandarini (clearing agent).

Gharama nyingine utakazolipa ni ushuru wa TRA, wharfage, shipping line, port charges na gharama ya kadi na plate no.
 
inspection fee hmna..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…