Elimu yangu ni Bachelor Of Business AdminstrationNatafuta kazi

Elimu yangu ni Bachelor Of Business AdminstrationNatafuta kazi

mziwanda 10

New Member
Joined
Aug 13, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Salama wana jukwaa,

Mimi ni kijana wa Kitanzania mwenye mke na watoto wawili, nimekuja mbele yenu kuomba msaada wa kazi yoyote ile kujikimu mimi na familia yangu.

Elimu yangu ni "Bachelor of Business Adminstration". Yoyote mwenye kazi au connection ya kazi yoyote halali na yenye kipato basi nitakua tayari kuifanya.

Nipo Dar
 
Back
Top Bottom