Elimu yetu ilipofikia sasa.

2040 swali litakuwa andika maksi unazo taka
2050 swali litakuwa jaza ufaulu unao taka
Nimecheka saana aseh!!,2050!!,,japo sidhani kama itafikia hatua hiyo,lkn hii yote yatokea kwasababu yakukubali siasa iendeshe utaalamu,,yaani ni sawa na goli lipanuliwe ili mfungaji afunge kirahisi,na baadae kumsifia kocha kuwa kafundisha vizuri wachezaji,,sijui wapi tunaelekea.
Imezoeleka leo hii hata sekondari wanafunzi wengi kufaulu kirahisi,,ukitaka kujua vizuri angalia ufaulu wao wakiwa vyuoni,field,au wakianza kazi serikalini au mashirika nk,.
 
Ccm ni wapumbavu wanaleta hadi ujinsia kwenye elimu ...ndiyo huko kupanua goli....awajui maana ya elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…