Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Hicho ulichokizungumzia ni 10% ya output kwa mtu aliyepata elimu kamili.Unachoongelea unaongelea wanafunzi wanaosoma masomo ya Sanaa wa Sayansi hawakariri wanaelewa.Sayansi Hakuna kukariri Ni kielewa tu
Kuhusu elimu ya vyeti hueleweki
Waliosoma ufundi ,udaktari na uinjinia Elimu ya walichosoma inaonekana wazi kila mahali kuanzia ujenzi wa nyumba ,matibabu nk
Dawa Ni watoto wote wasome masomo ya sayansi kuondoa hizo kelele za kusema watoto wanakariri na wanasomea vyeti tu
Sio kweli misomo ya kukariri hasa ya arts ndio haina output mingi lakini sio mainjinia barabara unaziona,majengo unayaona,mafundi magari unaona output yao ya VETA wazi wazi kabisa ,na ubunifu unaonekana , madaktari pia tatizo liko kwa hai wasoma madomo ya kukariri mavitu kichwani fani Kama Sheria,uhasibu,uchumi,historian nk hayo yanazalisha vilaza Wengi mno na ndio wanasababisha elimu ionekane duniHicho ulichokizungumzia ni 10% ya output kwa mtu aliyepata elimu kamili.
Tumetofautiana kwenye kufikiri mkuuSio kweli misomo ya kukariri hasa ya arts ndio haina output mingi lakini sio mainjinia barabara unaziona,majengo unayaona,mafundi magari unaona output yao ya VETA wazi wazi kabisa ,na ubunifu unaonekana , madaktari pia tatizo liko kwa hai wasoma madomo ya kukariri mavitu kichwani fani Kama Sheria,uhasibu,uchumi,historian nk hayo yanazalisha vilaza Wengi mno na ndio wanasababisha elimu ionekane duni