Elimu yetu inakwenda wapi

Elimu yetu inakwenda wapi

chaka bovu

Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
16
Reaction score
0
Jamani hivi elimu ya tanzania inakwenda wapi? kama tunaweza sasa kuweka mtihani wa hisabati kuwa na majibu ya kuchangua sasa tunafanya wanafunzi kuwa wavivu sasa na kupoteza wasomi. kweli tutafika
 
Jamani hivi elimu ya tanzania inakwenda wapi? kama tunaweza sasa kuweka mtihani wa hisabati kuwa na majibu ya kuchangua sasa tunafanya wanafunzi kuwa wavivu sasa na kupoteza wasomi. kweli tutafika

Mkuu chaka bovu nauliza kwanza, hapo kwenye blue umemaanisha 'KUCHAGUA' au?
 
Last edited by a moderator:
Tabu ya nini wakati wanajua wakimaliza watashikwa mikono kupewa kazi.
Hatuna tunako elekea,tuko shimoni tayari.
 
ujaju makeda wanataka msikanyage bungeni pamoja na ikulu.unavyozani una ambiwa ukitaka kupata kazi uwe nauzoefu wa miaka 3 unazani mchezo awataki kubanduka
 
Back
Top Bottom