Elimu yetu inalenga kufaulu mtihani(ya kukremu) si kudadisi.Mkumbo Kitila

Elimu yetu inalenga kufaulu mtihani(ya kukremu) si kudadisi.Mkumbo Kitila

huo ni ukweli na pia kutegemea waliofeli ndio waende ualimu ndio maana wanafunzi wanatoka vilaza anyway this is Tanzania all things are possible
 
huo ni ukweli na pia kutegemea waliofeli ndio waende ualimu ndio maana wanafunzi wanatoka vilaza anyway this is Tanzania all things are possible

Huu utaratibu unanikera sana miye, ni wakijinga sana. Haiwezekani mtu aliyefanya vibaya ndo akawe mwalimu, ataenda kufundisha nini huko ka sio kutengeneza Taifa la watu wa hovyo hovyo tu!
Bado kwa utaratibu huu tunaamini tutaweza kuwa watu wasomi watakao weza kushindana vema ktk dunia hii.
Walimu wanotokana na utaratibu huu ndo hawa wanaowakaririsha watoto wetu na hata kuwasaidia kujibu maswali ktk mitihani yao( kuwafanyia mitihani) coz hata hawafahamu madhara yake!
Ni vema sasa tukabadilika, TUBORESHE MASLAHI YA WALIMU, MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA, VITENDEA KAZI VIWEPO, MAKAZI BORA KISHA TUCHUKUEWALE WALIOFAULU SANA (SIO VIZURI), NDIO WAENDE KUSOMEA UALIMU NA SI VINGINEVYO!:rofl:
 
Back
Top Bottom