Elimu Yetu Kweli Inatija Au Tunasoma Ili Tuonekane Tumesoma

Elimu Yetu Kweli Inatija Au Tunasoma Ili Tuonekane Tumesoma

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Ndugu Wanajamii Wasomi Na Wale Wenzangu Na Mie Wa Kukimbia Umande Nawasalimuni Nyoooote. Leo Napenda Kuwashirikisha Langu Toka Moyoni. Kipindi Kirefu Nimekuwa Najiuliza Hv Elimu Ya Bongo Ina Uhalisia Na Mpango Endelevu Wa Taifa Langu Tajiri Kupindukia. Kwann Haya Nayafikiri Ni Kwa Sababu Hata Leo Hii Unaweza Muuliza Kwann Almasi Na Madini Na Pembe Za Ndovu Yanathamani Kubwa Xana Duniani Sidhani Kama Anajua Matumizi Bayana Ya Vitu Hv. Ki Ukweli Tanzania Tunayakiwa Kubadili Mfumo Halisi Wa Elimu Yetu Na Utusahdie Katiaka Maisha Yetu Ya Kila Siku Tutafika Mbali. Kwani Haya Madini Kazi Yake Ni Kutengeneza Urembo Tu La Hasha Ni Zaidi Nafikiri. Enyi Wasomi Wetu Acheni Kufikiri Kuiba Na Kutengeneza Fraud Fraud Na Kujenga Vitambi. Umefika Wakati Xasa Haya Madini Yawe Yantengeneza Product Hapa Home Cyo Kupelekwa Nje. Alafu Msomi Kumbuka Kwamba Hapa Duniana Huishi Milele Je Kwann Usiumize Kichwa Kuwa Mbunifu Ili Kizazi Chako Kije Kuwa Huru Maana Ukiingia Mikataba Mibovu Na Foregners Jua Itakuja Kuwagharimu Uzao Wako Wa
 
Ndugu Wanajamii Wasomi Na Wale Wenzangu Na Mie Wa Kukimbia Umande Nawasalimuni Nyoooote. Leo Napenda Kuwashirikisha Langu Toka Moyoni. Kipindi Kirefu Nimekuwa Najiuliza Hv Elimu Ya Bongo Ina Uhalisia Na Mpango Endelevu Wa Taifa Langu Tajiri Kupindukia. Kwann Haya Nayafikiri Ni Kwa Sababu Hata Leo Hii Unaweza Muuliza Kwann Almasi Na Madini Na Pembe Za Ndovu Yanathamani Kubwa Xana Duniani Sidhani Kama Anajua Matumizi Bayana Ya Vitu Hv. Ki Ukweli Tanzania Tunayakiwa Kubadili Mfumo Halisi Wa Elimu Yetu Na Utusahdie Katiaka Maisha Yetu Ya Kila Siku Tutafika Mbali. Kwani Haya Madini Kazi Yake Ni Kutengeneza Urembo Tu La Hasha Ni Zaidi Nafikiri. Enyi Wasomi Wetu Acheni Kufikiri Kuiba Na Kutengeneza Fraud Fraud Na Kujenga Vitambi. Umefika Wakati Xasa Haya Madini Yawe Yantengeneza Product Hapa Home Cyo Kupelekwa Nje. Alafu Msomi Kumbuka Kwamba Hapa Duniana Huishi Milele Je Kwann Usiumize Kichwa Kuw duuh kwa uandishi huu wako..!?jipange kwanza alafu urudi tena jamvini ulete maon yako..!over
 
Back
Top Bottom