Elimu yetu kwenye Internet itakuja wezekana???

Joined
Sep 14, 2011
Posts
36
Reaction score
5
Hivi sisi kama wadau wa hapa TanzaniaKwetu suala la elimu kwa QT na Elimu ya juu,itafika siku kweli ikawezekana kuwa online?
 
Hivi sisi kama wadau wa hapa TanzaniaKwetu suala la elimu kwa QT na Elimu ya juu,itafika siku kweli ikawezekana kuwa online?

inawezekana mfano c udsm mbona wameianza au unataka kutoa idea mpya juu ya hilo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…