bulama
JF-Expert Member
- Dec 13, 2012
- 561
- 135
hiki ni chimba cha darasa.
ndani ya hilo darasa.
wanafunzi wakiwa darasani.Hili darasa liko sehemu moja huko muleba kagera. leo nimeushangaa mswada wa mavazi kupelekwa bungeni wakati elimu yetu ikiwa katika mazingira haya.
fikira za viongozi wetu kuelekea maendeleo endelevu bado sijaziamini. hizi max wanazotaka watu waanze kuvaaa sijuhi zitasaidia kwa hili?
yangu majicho