Elimu yetu na fikira za viongozi

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
561
Reaction score
135
hiki ni chimba cha darasa.

ndani ya hilo darasa.

wanafunzi wakiwa darasani.

Hili darasa liko sehemu moja huko muleba kagera. leo nimeushangaa mswada wa mavazi kupelekwa bungeni wakati elimu yetu ikiwa katika mazingira haya.

fikira za viongozi wetu kuelekea maendeleo endelevu bado sijaziamini. hizi max wanazotaka watu waanze kuvaaa sijuhi zitasaidia kwa hili?

yangu majicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…