Elimu yetu ndipo ilipofikia hapa

Elimu yetu ndipo ilipofikia hapa

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Jumatatu nilikuwa nafanya maongezi na baadhi ya wanafunzi wa mwaka 2 UDSM wanaofanya bachelor degree of computer science katika maongezi yetu mengi kuna maswali nimuuliza mwanafunzi mmoja
Mimi:unamfahamu Stave Jobs
Mwanafunzi:Simjui

Mimi:unamfahamu Wema sepetu
Mwanafuzi:ndiyo star wa movie za bongo

Mimi:unamfahamu Mark Zuckerberg
Mwanafunzi:hapana

Mimi:Unamfahamu Diamond
Mwanafunzi:ndiyo,msanii wa bongo flavor na mpenzi wa zamani wa wema sepetu

Mimi:Unamfahamu Bill Gates
Mwanafunzi:ndiyo,mmiliki wa computer zote duniani

TAFAKARI CHUKUA HATUA TUNAKWENDA WAPI NA ELIMU YETU
 
Mkuu utanisamehe kwa kauli zangu kama hutazipenda.
Kifupi naona kama unatuchafulia jukwaa.kipimo cha elimu hakitapimwa kwa maswali yako ya kipuuzi kama hayo;ni dhahiri kuwa mazombi yalikutana na kuanza kuendeleza uzombi wao.
Nenda kajipange njoo na hoja za msingi tutakujibu.
 
yaani mkuu weye ndo kilaza, yaani unapima uwezo wa mtu kwa kujua watu flaniflani
 
Mkuu utanisamehe kwa kauli zangu kama hutazipenda.
Kifupi naona kama unatuchafulia jukwaa.kipimo cha elimu hakitapimwa kwa maswali yako ya kipuuzi kama hayo;ni dhahiri kuwa mazombi yalikutana na kuanza kuendeleza uzombi wao.
Nenda kajipange njoo na hoja za msingi tutakujibu.

Tatizo ni kuwa ukweli siku zote unauma kama inavyotokea Bungeni hivi sasa!! Hiki alichokiandika ndiyo ukweli halisi. ukitaka ukubali na usipopenda likuume ili kesho ujinasue na huu upuuzi kama wa akina Nkamia na Lusinde.
 
Jumatatu nilikuwa nafanya maongezi na baadhi ya wanafunzi wa mwaka 2 UDSM wanaofanya bachelor degree of computer science katika maongezi yetu mengi kuna maswali nimuuliza mwanafunzi mmoja
Mimi:unamfahamu Stave Jobs
Mwanafunzi:Simjui

Mimi:unamfahamu Wema sepetu
Mwanafuzi:ndiyo star wa movie za bongo

Mimi:unamfahamu Mark Zuckerberg
Mwanafunzi:hapana

Mimi:Unamfahamu Diamond
Mwanafunzi:ndiyo,msanii wa bongo flavor na mpenzi wa zamani wa wema sepetu

Mimi:Unamfahamu Bill Gates
Mwanafunzi:ndiyo,mmiliki wa computer zote duniani

TAFAKARI CHUKUA HATUA TUNAKWENDA WAPI NA ELIMU YETU

Hii ndo nini? Kumbe hata wewe hujui eeh!!!
 
kila siku huwa nasema uwezo wa mtu haupimwi kwa chuo anachosoma, hao watoto wa UDSM kila siku kujisifu lakini narudia tena ukienda UDSM utawakuta vijana bora na vilaza pia wapo kama ilivyo kwa vyuo vingine.
 
Angekuwa mwanafunzi wa kitivo kingine nisingeshangaa kabisa,lakini mtu anayesoma computer science hajui hata watu waliobadilisha ulimwengu wa technology,mbona anajua habari za udaku
 
Back
Top Bottom