Matatizo mengi makubwa ya Tanzania ni elimu. Hivi ukila chakula wakati mwili hauna digestive system kutakuwa na faida ya wewe kula? (Reading without reflection is like eating without digestion).
Tuondoe so called mitihani ya Taifa kuanzia ngazi ya chini, badala yake mfumo wa GPA wa vyuo utumike tokea chini, ili wanafunzi wasiwe na homa ya kuhofu kufeli, homa inayowapelekea wao na walimu wao kujikita sana kusoma maeneo wanayohisi wakiyadoma watafaulu, hivyo kukosa tabia ya kujifunza mambo mengi, kukosa utafiti wa mambo na kuwa shallow hata kama ni TO, walioajiriwa wengi ni ma TO wa kukariri, waliofeli nao ni ma felia wa kukariri.
Nchi inakosa wabunifu tunafanya mambo na kujadili mambo kwa uelewa wa kukariri. No hatari kwa Taifa!
Ondoeni mitihani ya Taifa, hamuoni kuwa mataifa mengi yaliyoendelea kiuchumi, sayansi na teknolojia hayana hicho munachoita mtuhani wa Taifa.
Hivi tunaenda mataifa ya wengine kujifunza au kula bata tu?