Elimu yetu

VANOR

New Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1
Reaction score
0
Nilazima tukubali kuwa, mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi yaliyotukuta katika nchi zetu za dunia ya tatu, yamebadilisha mfumo wetu wa elimu. Hii ni kutokana na kile ambacho kilitokea miaka ya 1980's na 1990 ikiwa ni kuangukankwa kambi ya Mashariki hali ambayo ilisababisha nchi zetu kuruhusu mifumo ya kibepari. Taratibu Tanzania kama miongoni mwa nchi za dunia ya 3, ilianza kubadili huduma za jamii kama vile maji, elimu, afya, mawasiliano, nk kuwa bidhaa za jamii (From sociol service to commodity service). Kwahali hii tujue kwamba ili kupata bidhaa bora ni lazima kuwa na kipato bora. Kwa muktadha huo ; Familia bora itapata elimu bora, nchi yenye uchumi bora mfumo wake wa elimu utakuwa bora pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…