Elimu yetu

Lajomi

Member
Joined
Sep 1, 2012
Posts
62
Reaction score
9
Wakati bado kuna changamoto na sintofahamu nyingi katika sector ya elimu hapa kwetu,jirani zetu wanazunguza mengine kabisa,wakati kuna ukosefu wa vitendea kazi vya kufundishia,miundo mbinu mibovu,ukosefu wa madawati,matundu machache ya vyoo,umeme kwenye shule zetu,vitabu,uhaba wa waalimu,mishahara ya waalimu midogo kiasi cha kuwakatisha tamaa na mengine meeengi tu.....

Kwa jirani zetu Kenya hili ndo gumzo

Microsoft founder Bill Gates has pledged to support the free Laptops for school children programme initiated by President Uhuru Kenyatta

Through his offices in Nairobi,Microsoft said it will work hand in hand with the Jubilee Government to ensure it delivers its pledge to Kenyans
The company said it will provide free software to Laptops and also to provide technical knowhow on how to operate the computers
President Uhuru pledged to offer all children going to standard one next year in public schools free laptops.

The estemeted cost of the project is Ksh 50 billion.

Source:Kenyan Daily Post


Wakati hapa kwetu change ya Radar inatutoa mimacho hakieleweki, siasa zinatawala mno kuliko utekelezaji
 
Lajomi
Wakati hapa kwetu change ya Radar inatutoa mimacho hakieleweki, siasa zinatawala mno kuliko utekelezaji

Wenzetu hawafanyi mzaha na ushindani wa soko la ajira Afrika Mashariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…