K keinyo Member Joined Jul 20, 2011 Posts 7 Reaction score 1 Jul 21, 2011 #1 Hivi kuna umuhimu wowote wa kuanzisha tution kwa shule za nasary schoolor ndo development
Salanga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 364 Reaction score 44 Jul 24, 2011 #2 Mkuu hakuna umuhimu wowote.Tuition ni kwa wale wenye matatizo katika learning.Inatakiwa iwe prescribed na mwalimu kwa wanafunzi wenye uwezo wa chini.
Mkuu hakuna umuhimu wowote.Tuition ni kwa wale wenye matatizo katika learning.Inatakiwa iwe prescribed na mwalimu kwa wanafunzi wenye uwezo wa chini.
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 896 Jul 24, 2011 #3 Tanzania kuna shule za Nasary za kata