elimu

elimu

NICK WA 16

Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
26
Reaction score
3
jaman et kuna utofaut gan ya kati ya hz koz :bachelor of science with education na bachelor of education in science.
 
Mi navojua ni kwamba bachelor of education with science ukimalza utaajiriwa na kuwa mwalimu kwa masomo ya science bt ukipenda unaweza kwenda kusomea mambo mengne,Lkn bachelor of education in science unakuwa mwalimu wa masomo ya science mpaka mungu anakuita.SUBIRI NA WENGNE WAJE KWA NYONGEZA
 
Ukiona kitu in education ujue hapo ni ualimu mpaka kufa but with education unaweza kujitetea huko mbeleni i.e kuchange
 
Back
Top Bottom