Mi navojua ni kwamba bachelor of education with science ukimalza utaajiriwa na kuwa mwalimu kwa masomo ya science bt ukipenda unaweza kwenda kusomea mambo mengne,Lkn bachelor of education in science unakuwa mwalimu wa masomo ya science mpaka mungu anakuita.SUBIRI NA WENGNE WAJE KWA NYONGEZA