Hawa huwa wanahangaika na rushwa ndogo ndogo zenye ushahidi wa kutafuta kwa tochi huku wakiacha rushwa kubwa na za wazi zikiendelea bila kubugudhiwa. Mama lao anatoa rushwa kubwa kubwa mchana kweupe, lakini TAKUKURU wanageuzia macho yao kwingine!Mkuu wa Takukuru Mkoa wa Mtwara Mashauri Elisante amesema kipindi hiki cha kampeni wamejipanga kuelimisha wananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera na kuchagua kiongozi wanayeweza kushirikiana naye kuleta maendeleo na siyo kuchagua kiongozi anayejihusisha na rushwa.
Elisante amesema kwa kuzingatia kanuni za maadili ya Sheria ya Uchaguzi zimeweka wazi vitu vinavyokatazwa na vinavyokubalika kutoa kwenye kampeni,Elisante ameyasema haya Leo Mkoani Mtwara alipozungumza na Joseline Kitakwa kutoka Bongo Fm Digital.
Pia Soma
Takataka nyingine hiiMkuu wa Takukuru Mkoa wa Mtwara Mashauri Elisante amesema kipindi hiki cha kampeni wamejipanga kuelimisha wananchi kuhudhuria mikutano ya kampeni kusikiliza sera na kuchagua kiongozi wanayeweza kushirikiana naye kuleta maendeleo na siyo kuchagua kiongozi anayejihusisha na rushwa.