Elite secondary school of arusha (s.3577)

Amykil

Senior Member
Joined
May 15, 2013
Posts
109
Reaction score
28
Shule ya sekondari Elite inawatangazianafasi za kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia Julai mwaka huu. Ada ya boarding ni Tsh1,150,000 kwa mwaka na day ni Tsh750,000 kwa mwaka.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0715815594 au email elite.schools@yahoo.com. Au ingia kwenye facebook utu search kutumia elite schools upate kujionea picha za shule. Pia tunaweza kuongea hapa JF.

Asanteni

Kwa kuongezea zaidi shule iko gorofa ya tatu zamani sasa imebadilishwa kua secondary iko mkabala na stand kuu ya arusha.

Shule ya sekondari Elite inawatangazianafasi za kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia Julai mwaka huu. Ada ya boarding ni Tsh1,150,000 kwa mwaka na day ni Tsh750,000 kwa mwaka.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0715815594 au email elite.schools@yahoo.com. Au ingia kwenye facebook utu search kutumia elite schools upate kujionea picha za shule. Pia tunaweza kuongea hapa JF.

Asanteni

Kilimba mama na baba hawajambo kijana?

Idle fingers, the work of the devil. Dont waste your time and mine, son.

By Amykil

Shule ya sekondari Elite inawatangazianafasi za kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia Julai mwaka huu. Ada ya boarding ni Tsh1,150,000 kwa mwaka na day ni Tsh750,000 kwa mwaka.

Kwa mawasiliano piga simu namba 0715815594 au email elite.schools@yahoo.com. Au ingia kwenye facebook utu search kutumia elite schools upate kujionea picha za shule. Pia tunaweza kuongea hapa JF.

Asanteni

Kilimba mama na baba hawajambo kijana?

Identify yourself in PM

Mkuu hebu upload na picha tuone maana nimepata waiswasi baada ya kuona mkuu MAN PC kuwa hiyo shule ilikuwa ni guest house, mara sijui ipo mkabala na stand kitu ambacho si kizuri kwan how comes guest house igeuke kuwa shule.? Hapa watoto wetu siwataambukizwa mapepo ya uzinzi?

Last edited by a moderator:

Picha ninazo kwenye desk top. Naomba ingia facebook halafu search kwa jina elite schools. Ziko kadhaa lakini chagua ile yenye nembo kama kwenye avatar yangu.

Last edited by a moderator:
Shule ipo eneo linaitwa Kisongo karibu na kituo koitwacho Waya. Iko kilomita 20 kutoka mjini. Ina kiwanja chenye ekari 28.

Back
Top Bottom