Shule ya sekondari Elite inawatangazianafasi za kidato cha kwanza na cha tatu kuanzia Julai mwaka huu. Ada ya boarding ni Tsh1,150,000 kwa mwaka na day ni Tsh750,000 kwa mwaka.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0715815594 au email elite.schools@yahoo.com. Au ingia kwenye facebook utu search kutumia elite schools upate kujionea picha za shule. Pia tunaweza kuongea hapa JF.
Asanteni

By Amykil

Kilimba mama na baba hawajambo kijana?
Mkuu hebu upload na picha tuone maana nimepata waiswasi baada ya kuona mkuu MAN PC kuwa hiyo shule ilikuwa ni guest house, mara sijui ipo mkabala na stand kitu ambacho si kizuri kwan how comes guest house igeuke kuwa shule.? Hapa watoto wetu siwataambukizwa mapepo ya uzinzi?