Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Mwanariadha wa Kimataifa kutoka Kenya, Eliud Ameshinda Tokyo Marathon Kwa muda 2:02:40 huko Japan, Hadi Sasa Ameshinda Mashindano Makubwa manne (4), anatarajiwa kushiriki Boston Marathon itakayofanyika April 18, 2022 na New York Marathon itakayofanyika November 22, 2022.
Picha Kwa hisani ya Mtandao wa (World Athletics).
Mwanariadha Mkongwe wa Tanzania Juma Ikangaa Amewahi shinda Mbio Hizo za Tokyo Marathon Hadi akapewa Jina kwenye mtaa mmoja huko Japan.
Picha Kwa hisani ya Mtandao wa (World Athletics).
Mwanariadha Mkongwe wa Tanzania Juma Ikangaa Amewahi shinda Mbio Hizo za Tokyo Marathon Hadi akapewa Jina kwenye mtaa mmoja huko Japan.