Eliud Kipchoge avunja rekodi yake mwenyewe na kuwa mwanariadha wa kwanza kukimbia KM 42 kwa chini ya saa 2

Mkenya gani kashawahi shinda dhahabu au aliempiga bondia wa TZ wewe maana munasema michezo yote Kenya
Robert Wangila alishinda dhahabu. Niambie wenu ambaye ashawahi kushinda tangu kuumbwa kwa dunia? 🤣🤣
 
Mbona umesahau kuunganisha na rekodi hizi chan mumetutwanga ndondi mulitutwanga CECAFAU20 mumetutwanga
 
I me sahau na kuolewa sauz mmetupita pia
 
Hahaa! 😀 Jombaa, hata kama amekuudhi na hizo habari za wahadzabe na msosi wao wa kobe, hamna haja ya kueneza porojo tafadhali. Hebu tutajie hiyo marathon ambayo huyo Ikhangaa alishinda miaka mitatu mfululizo?
Soma google pls,have no time to waste
 
BREAKING NEWS!!
Women also can, Brigid kosgei wins Chicago marathon in a WORLD RECORD TIME of 2hr14 min
 
Akisaidiwa na watu waliozuia upepo usimpige.

Hili ni jambo ambalo watu hawalisemi.

That is not a natural marathon.


Mkuu:
Hao ni pacesetters tu (Rabbits).
Leo hii 13/10/19 Brigid Kosgei ameweka record nyingine ya Chicago marathon kwa wanawake huku akiwa na hao pacesetters wawili.
Lkn huko tunako elekea IAAF wanaweza kubadilisha kanuni na kuruhusu hao wakinga upepo.
 
Brigid ameshinda proper marathon. Nimempongeza tayari.

Huyu Kipchoge hii sub 2 hrs ya kukimbia mwenyewe bila mpinzani si marathon, ni soap opera labda.
 
Brigid ameshinda proper marathon. Nimempongeza tayari.

Huyu Kipchoge hii sub 2 hrs ya kukimbia mwenyewe bila mpinzani si marathon, ni soap opera labda.


Sawa Mkuu:
Lkn hawa pacesetters wawili alio kuwa nao tangu mwanzo hadi mwisho, haiwezi kudhaniwa kuwa ni wakinga upepo.
Aidha ninavyo fahamu mimi pacesetters huwa wanakimbia halfway. Lkn leo ni mwanzo mwisho kulikoni?
 
Ila huyu mtanzania Kipchoge sio mtu mzuri. Alipomaliza shughuli yote alionekana akienda moja kwa moja kwa majirani wakenya. Ambao walijitokeza kwa wingi kumpa motisha. Wakiongozwa na Naibu Rais William Ruto.
Tanzania hainaga wa hivo, btw who is Kipchoge
 
Sawa Mkuu:
Lkn hawa pacesetters haiwezi kudhaniwa kuwa ni wakinga upepo. pacesetters huwa wanakimbia halfway. Lkn leo ni mwanzo mwisho kulikoni?
Mkuu:
Hao ni pacesetters tu (Rabbits).
Leo hii 13/10/19 Brigid Kosgei ameweka record nyingine akiwa na hao pacesetters wawili. IAAF wanaweza kubadilisha kanuni na kuruhusu hao wakinga upepo.
Safi sana. Watu wengi humu hawaelewi chochote kuhusu hawa sungura(pacesetters). Pacesetters wanakubaliwa na IAAF na huwa sio wa mwanariadha binafsi, mara nyingi huwa wanaletwa na waandalizi wa mbio au team flani, km. waethiopia, wamarekani n.k. Kazi yao ni kuongoza kasi ya mbio na huwa wanajiondoa kwa heshima na kwa hiari yao. Kuna pacesetter mmoja aliongoza mwanzo mwisho kwenye 10,000m, akavunja rekodi na akajishindia medali ya dhahabu. 😀
 
Dah Juma Ikangaa Dunia na nchi imemsahau kabisa..
Angalia Sasa mi nyani ilivyo!mbona mi nimeona hii nikampigia makofi kipchoge,hili mburura linaanza kashfa.
Tz ilishawahi kuwa mabingwa wa mbio ndefu miaka mi 3 mfululizo chini ya juma ikhangaa hatuongei fala we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…