Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Nimetazama hii video ambayo inaonyesha ushindani mkubwa kati ya hawa wanariadha wawili. Ushindani huu ulianza zamani walipokuwa wanakimbia kwenye track na sasa umekuja tena kwenye marathon. Watu wanaopenda athletics tazameni hii video, mtajifunza mengi.