Elizabeth Blackwell: Mwanamke wa kwanza daktari Marekani

Elizabeth Blackwell: Mwanamke wa kwanza daktari Marekani

Lemaemmanuel

Member
Joined
Jan 30, 2020
Posts
18
Reaction score
28
Alikataliwa na vyuo vikuu 29 akaambiwa mwanamke hawezi kuwa daktari labda ajifanye mwanaume. Kwa bahati chuo kimoja kikampokea kwa makosa na 1849 Elizabeth Blackwell akawa mwanamke wakwanza daktari huko USA. Aliendelea kuishi ndoto yake na kufungua milango ya waliokuja baada yake.

IMG_3652.jpg
 
Back
Top Bottom