Hebu tujikumbushe kidogo, kumbe Madame B alikuwa anarock tangu zamani...naanza kupata shaka na haya mapinduzi mapinduzi
Apo ni Cc: Lady doctor
Kuvurugwa ni kawaida maana usipowatia majaribuni huwezi jua wakoje
Oya hebu ka intervene kwenye kura za miss chit chat, uliyemkasmisha majukumu yako ameshindwa hata kutuwekea poll.. sisi wengine na hangover zetu tunashindwa kupiga kura... We miss you there..!