Elizabeth Gupta - BBA 2009 Tz Representative

Biography yake inasema ana miaka 21, yeye anasema ana miaka 22 amesherekea lini Birth day yake???

Lakini bado tuna nafasi nzuri, out there kuna watu wengi sana wanaoona huruma they will vote for her because of that, lakini hii tabia hakutakiwa kuionyesha leo, I wonder how many times will she has to cry to finish 91 days?

Crying will be described as weak character by some viewers, I would advise her to change, anatakiwa aongee kwa tone ya kuwafanya watazamaji walie sio yeye ndiye alie. Kama Umeona movie ya mission Impossible ya Robert De Niro, watu wanalia wakiangalia lakini yeye yupo Ngangari
 
Du! maisha plus ianze tu maana hapa tunanyanyapaliwa tu
 
Binti ni mwelevu sana na ana uwezo mkubwa wa kujieleza tofauti na wadada wetu wengi tz. ila kama alivosema Mbogela kete hiyo aliyotoa ilitakiwa aitoe kwenye michakato ya mbele zaidi bado mapema sana! ila hatuwezi jua may be ana mengi ya kutuhabarisha mbeleni!
 
Elizaabeth atafika mbali sio kama yule dada wa mwaka jana ,hivi keshajifungua?
 
woman,we are with you all the way,watching you,at least were there was despair there is hope,we can surely see light at the end of the tunnel.we like the way you is tactically making AFRICA take notice-bon voyage
 
naam tunamuombea ashinde mchuma janga hula na wa kwao na mchuma mema hula na wa kwao pia
 
Ila huyu binti siku ya kwanza walipokutana na Boys/men, kuna wakati alikuwa ana'chat na mmoja wa waganda (Phil) kwa kiswahili (late night kwa saa za EA). Kuna maneno alitamka (kama vile MSE*GE BARIDI...) nikamshangaa na sikupata picha watz wenzangu watalichukuliaje hilo.
 

So far she is doing fine and she is the head of house this week! Tumpe support tu!
 
jamani ndugu yetu Elizabeth wiki hii ameingia kwenye nomination. Tumpigie kura abaki mjengoni. Lets send SMS with the name"ELIZABETH" to 15726
 
ok sally na kwenye mtandao pia nadhani tunaweza kubofya kwa sana ili aendelee kubaki
 
Vip khusu Dokii,yupo wapi siku hizi wakubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…