msakamsakapesa
Member
- Sep 23, 2014
- 15
- 6
Oscar kusekwa jela miaka mitano, na miaka mitatu ya kifungo cha nje, Je kwanini Lulu wa bongo movies , wasiwekwe jela miaka mia nane?? koz tunapoelekea anaenda kumpiga tena JB wa bongo movies kwenye Tendegu la sofa, alafuuu yatakujaaaa yaleyalee ya brother Kanumba tunaanza kujutaaa uku mtu anakula bata uswahilinii