msakamsakapesa
Member
- Sep 23, 2014
- 15
- 6
Oscar kusekwa jela miaka mitano, na miaka mitatu ya kifungo cha nje,je kwanini lulu wa bongo movies Wasiwekwe jela miaka miananeeee?? koz tunapoelekea anaenda kumpiga tena JB wa bongo movies kwenye tendegu la sofaaaaa,alafuuu yatakujaaaa yaleyalee ya brother kanumba tunaanza kujutaaa uku mtu anakula bata uswahilinii
Pumba express. Lulu amemshoot nani?
kwani lazima amshoot mtu?. Nadhani point ya mtoa maada ni kuuwa bila kukusudia.
Tanzania ukiwa mzuri na unajua kuutumia uchi wako vizuri hata uuwe raisi utatoka tu wala hutafungwa
Kuutumia uchi vizuri ndio kivipi yaani, nielimishe