Elizabeth 'Lulu' Michael achumbiwa na RDJ Majizzo

Mwanaume niwe na wivu eti lulu kaolewa..
Kuwa serious kidogo..

Ninachoongelea ni maigizo ya kulia wakati kila kitu kilikua planned inawezekana yeye mwenyewe ndio aliplan sherehe kabisa
Kumbe ma mi nilidhani fe
 
Hizi ndoa sijui watu huwa wanaangalia vigezo gani.


Dah... Haya maisha mema ya ndoa.
 
Huyu jamaa si ndio baba mtoto wa kwanza wa Hamisa Mobeto.....so anaendelea kuwatafuna tu mastaa.
 
Ila majei Mungu anakuona[emoji135][emoji135][emoji135]juzi mama fantasy kasema wewe ulikuwa Soo amazing [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena sasa hivi ana elemen


Daah kuna watu wenye maisha ya shida kama watu wanaoishi nje acha hizo
 
Hivi huko mijini huwa mnachumbiana namna gani? mm sielewagi utaratibu wa huko. Mara surprise amevishwa pete kwenye birthday ya nani sijui...😀. Ni mwendo kasi nini?, naona za kwetu mikoani zina taratibu tofauti, nataka kujua hivi mnachumbiaje huko mjini dar es salaam?...ni kwenye sherehe ndio mnachumbiana km mnavyotuonyesha kwa mitandao au kuna utaratibu nyuma ya pazia unakuwa ulishaandaliwa??


Alafu Boss unaoa mfanyakazi wako ina maana mlianzia mahaba kabla ya kazi?, au kazi ilipatikana kwa mahaba mahaba?
 
my best actress bongo dogo anajuwa sana na scene hata kama ni risk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…