Ndiyo power Inayo run Dunia na ku operate to maximize as much profit as possible
Yeah ,nyerere alitaka kutudanganya na marxism yake kila mtu akaishia kuwa mkulima na redio moja ya balozi😁😁😁Ndiyo power Inayo run Dunia na ku operate to maximize as much profit as possible
Ukiichunguza vizuri ile sera ilifanya watu wawe na Roho ya wivu na husuda kwa walivyo navyoYeah ,nyerere alitaka kutudanganya na marxism yake kila mtu akaishia kuwa mkulima na redio moja ya balozi😁😁😁
Corporate social responsibility (CSR). Huyu sasa ndiye billionaire.Giving Back to Community
Marxism ni utapeli mkuuUkiichunguza vizuri ile sera ilifanya watu wawe na Roho ya wivu na husuda kwa walivyo navyo