Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wewe ni tahira hapo unaona umeweka habari na watu wamekuleewa,Sasa mkombozi wetu ametufikia tena.
Ni jambo la kumshukuru Mungu.
Jamaa yetu Elon kakinukisha huko.
Mnalionaje hili wakuu,
Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink.
Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel.
Tubaki na biashara za Miamala.
Weka nyama na jinsi Gani tutaweza kuifikia hio maana najua Hawa wahuni wanaweza Zima tusiweze zipata Kwa kutumia line zaoSasa mkombozi wetu ametufikia tena.
Ni jambo la kumshukuru Mungu.
Jamaa yetu Elon kakinukisha huko.
Mnalionaje hili wakuu,
Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink.
Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel.
Tubaki na biashara za Miamala.
Vijana wa kitanzania ni wataalamu wa kusaka habari za nje wasio kua na ujuzi au uelewa nazo, ila wanakosa basic knowledge ya kuepuka umasikini kwao na kupata utawala bora..........Sasa mkombozi wetu ametufikia tena.
Ni jambo la kumshukuru Mungu.
Jamaa yetu Elon kakinukisha huko.
Mnalionaje hili wakuu,
Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink.
Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel.
Tubaki na biashara za Miamala.
Vijana wa kitanzania ni wataalamu wa kusaka habari za nje wasio kua na ujuzi au uelewa nazo, ila wanakosa basic knowledge ya kuepuka umasikini kwao na kupata utawala bora..........
Habari za Elon huwa zinajieleza zenyewe. Hazihitaji maelezo mengi.Wewe ni tahira hapo unaona umeweka habari na watu wamekuleewa,
USSR
asaidie tu ili hata malipo tumlipe moja kwa moja ili hawa wanaotuibia vifurushi watafute pa kwenda.Sasa mkombozi wetu ametufikia tena.
Ni jambo la kumshukuru Mungu.
Jamaa yetu Elon kakinukisha huko.
Mnalionaje hili wakuu,
Sasa simu zetu zimewezeshwa kushika mtandao wa Starlink.
Kwa heri Vodacom, Kwa heri Airtel, Kwa Heri Yas, Kwa Heri Halotel.
Tubaki na biashara za Miamala.
Source: Starlink Business | Direct To Cell