Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 620
- 1,240
Tajiri namba Moja ulimwenguni Elon Musk amefanikiwa kufungua duka lake la Online store la X kwa sasa duka Hilo linatoa bidhaa chache tu.
Anauza T-shirt nyeusi za unisex na kofia ya lori Kila Moja ikiwa na bei yake inaanzia $30. Shati yake imewekwa nembo yenye logo ya "X" iliyojificha kwenye kifua na kofia Kali yenye matundu yenye mfumo wa visor iliyopinda kidogo kwa nyuma.
Kwa Sasa huduma hii ni kwa wakazi wa nchi ya marekani Pekee japo inategemewa kusambazwa kimataifa zaidi na kupatikana ulimwenguni kote.
Tembelea sasa 👉 shop.spacex.com ✅
Angalia kwenye comments picha zake zaidi 👋
#elonmusk #dukani #XSHOP #SpaceX #MAREKANI #tanzania