Elon Musk ameamua, iPhones na simu mahiri za Android sasa zinaweza kutumia satelaiti zake kupiga simu popote pale Duniani

Hapa ushatuficha wabongo, tuna hanging kwa kusoma heading tu
 
Wametunyoosha mno, sio data wala mtandao. Unatuma sms kwa mtu leo, inafika kesho yake.

Aje awekeze Tz, tumenyonywa mno.
 
What Musk is trying to do, is to make the idea simple and accessible to everyone, and that is an invention on its own.

Kuna simu zinaiywa Thuraya za satellite, Lakini sidhani kama watu wengi wanhezimudu na pia muonekano no kama mahindi.
 
Ule msemo wa baada ya Mungu ni mzungu unazidi kuthibitika. Hawa jamaa wakisema wasimame kwa miaka 200 watusubiri tuwafikie, naamini hatutawafikia.
Tafiti za kuaminika zinasema wazungu wametuzidi kimaendeleo kwa miaka zaidi ya 200,000 (laki mbili)
 
US Army wanatumia satellites 🛰 kuwasiliana wakiwa popote duniani

Huyu anataka kutumia hii kitu kufanya biashara, pia kuisaidia US matika shughuli zake muhimu

Hapa ndipo mataifa mengine kama China, Russia nao watakuja kupingana kwa kutengeneza za kwao ili kuzuia taarifa za watu wao zisiende kwa watu ambao ni Washindani katika sura ya uhadui

Leo Musk anaonekana ana akili nyingi sana, nikichekesho kikubwa... akili ni nini?
 
What Musk is trying to do, is to make the idea simple and accessible to everyone, and that is an invention on its own.
What he has done is using his salesmanship na sasa hivi kutumia political connection hususan kupitia Trump kupata funds na kufanikisha issue zake...

Na hayo yote yamekuwa katika inventions zote ambazo amekuwa credited kuanzia Paypal (anayojisingizia kwamba alianzisha); mpaka Tesla ambayo wala hakuwa Founder ila kutokana na Connections zake (na his car salesmanship prowess) alisaidia kuipatia funds
Kuna simu zinaiywa Thuraya za satellite, Lakini sidhani kama watu wengi wanhezimudu na pia muonekano no kama mahindi.
Mafanikio ya hii yataongezeka through political connections and funds ila sio kwamba its a new idea au a breakthrough idea..., Na kama ni pesa atazichota sana kipindi cha huyu scam artist Trump...
 
💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…