Elon Musk amerudisha Twitter Spaces

Elon Musk amerudisha Twitter Spaces

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Habari njema kwa watumiaji wa twitter spaces, baada ya saa kadhaa za kutokuwepo kwa huduma ya mjadala kwa njia ya sauti, twitter spaces imerudi.

Huduma hiyo iliondolewa December 15, 2022 na hakuna kauli iliyotolewa na hakuna na maelezo yaliyotolewa kuhusu nini kilitokea.

Hivi karibuni, mmiliki wa Twitter, Elon Musk ametweet kuwa huduma hiyo imerudi.
IMG_20221217_085256_373.jpg
 
Back
Top Bottom