Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Tajiri namba 1 duniani mwenye mbwembwe amejichomoa kwenye deal la kuinunua Twitter kwa malipo ya $44 bilion.
Wakili wake anasema Twitter wameshindwa kumthibitishia madai yao ya kuwa idadi ya fake accounts ziko chini ya 5%.
Lakini kulikuwa na kipengele kuwa asipomaliza deal itabidi awalipe $1 bilion, hivyo team ya wanasheria wake wanajiandaa kupambana na Twitter mahakamani.
Mimi namwona jamaa uwa ana janja janja sana.
Chief-Mkwawa