Una uhakika? Angalia mabilionea wengi Marekani asili yao sio Pale huyo Musk mwenyewe akiwa ni mfano. Wanakwenda kule sababu ni rahisi kwao kufanya Huo ujanja ujanja.Huwezi kuwa tajiri namba 1 dunia kwa janja janja futa huo mstari wako kwanza.
Jamaa ni mjanja sana tushamshtukia angekuwa bongo tungesema anapenda kikiTajiri namba 1 duniani mwenye mbwembwe amejichomoa kwenye deal la kuinunua Twitter kwa malipo ya $44 bilion.
Wakili wake anasema Twitter wameshindwa kumthibitishia madai yao ya kuwa idadi ya fake accounts ziko chini ya 5%.
Lakini kulikuwa na kipengele kuwa asipomaliza deal itabidi awalipe $1 bilion, hivyo team ya wanasheria wake wanajiandaa kupambana na Twitter mahakamani.
Mimi namwona jamaa uwa ana janja janja sana.
Chief-Mkwawa
Aliandika tu Do it, hilo neno paka photoshopView attachment 2285025
Sina uhakika kama kamjibu kweli au la😅
😅hahah okayAliandika tu Do it, hilo neno paka photoshop
Na ndio utajiri wenyewe huo unataka uwe unalipalipa tu mavitu..😂Una uhakika? Angalia mabilionea wengi Marekani asili yao sio Pale huyo Musk mwenyewe akiwa ni mfano. Wanakwenda kule sababu ni rahisi kwao kufanya Huo ujanja ujanja.
US super-rich 'pay almost no income tax'
US authorities probe leak claiming to show how billionaires including Jeff Bezos and Elon Musk pay minimal or no income tax.www.bbc.com
Angalia Kodi waliolipa Matajiri 25 then linganisha na mpunga wao utaelewa. Bezos hajalipa kodi 2007 mpaka 2011, musk hajalipa kabisa hata thumni 2018
Wote Kuanzia Bill Gate enzi zake, kina Bezos, Musk etc wana scandal za kutosha tu.