Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ameshika uchumi🦮Tajiri kaongea lazma asikilizwe 😅
Siyo huyo tu! Ona hili na brazaj ajifunzeTajiri kaongea lazma asikilizwe 😅
Angeshaur watu walazimishwe kuchanjwa mngesema ni mpango maalum wa matajiri, ameshauri kuchanjwa iwe hiari mnasema ni mbinafsi....watu bwana.Matajiri siku zote ni wabinafsi,
Kwa kuwa yeye keshachanja basi wengine na wafe tu!
Selfish
Aliyekuambia ukichanja hutakufa ni nani?...Matajiri siku zote ni wabinafsi,
Kwa kuwa yeye keshachanja basi wengine na wafe tu!
Selfish
Yeye ni nani asijibiwe..... Endelea kulamba miguu ya waliokuzidi kipato..... Shwain [emoji1782]Aliyekuambia ukichanja hutakufa ni nani?...
Wewe huna hadhi ya kumjibu Elon Musk...sawa wewe kapuku..
Asijibiwe yeye nani?Aliyekuambia ukichanja hutakufa ni nani?...
Wewe huna hadhi ya kumjibu Elon Musk...sawa wewe kapuku..
Unauliza Yeye ni nani?...hahaha...naona umechanganyikiwa...haya basi mpe majibu yake...Yeye ni nani asijibiwe..... Endelea kulamba miguu ya waliokuzidi kipato..... Shwain [emoji1782]
Hivi angenyamaza tu nani angesema?Angeshaur watu walazimishwe kuchanjwa mngesema ni mpango maalum wa matajiri, ameshauri kuchanjwa iwe hiari mnasema ni mbinafsi....watu bwana.