Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Mmiliki wa mtandao wa Twitter na mkurugenzi wa kampuni ya magari ya umeme ya Tesla Bwana Elon Musk amerejea kwa mara nyingine tena kuwa tajiri namba moja Duniani.
Tukumbuke kwamba Elon amekuwa akipoteza nafasi ya kwanza utajiri Duniani mara kadhaa na kurejea toka November mwaka jana kutokana na kushuka na kupanda kwa hisa za kampuni yake ya Tesla.
Elon anasikitiza kwamba pamoja na kwamba yeye anachelewa kulala na analala kwa saa 6 kwa siku lakini ni vyema watu wakawahi kulala na kupata muda mwingi wa kupumzika. Elon anashauri kama huna dharula, usimpigie mtu simu kuanzia sa 3 usiku na kabla ya sa 3 asubuhi.