Elon Musk arejea tena kuwa tajiri namba moja duniani

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Baada ya wiki jana kusambaa kwa taarifa ya kupoteza nafasi yake aliyokuwa anaishikilia kwa muda mrefu, Nafasi ya kuwa tajiri namba moja Duniani.

Mapema wiki hii amerejea kwenye nafasi yake, akimshinda bilionea wa Ufaransa na Mkurugenzi mtendaji wa LVMH Bernard Arnault.

Elon Musk anarejea kwenye nafasi hiyo baada ya hisa katika kampuni yake ya Tesla kupanda mapema jumatatu hii.

Msimamo ulivyo kwa sasa
1. Elon Musk - Utajiri $210.6 B
2. Bernard Arnault & family - Utajiri $207.2 B
3. Jeff Bezos - Utajiri $181.2 B
4. Larry Ellison - Utajiri $142.1 B
5. Mark Zuckerberg - Utajiri $141.2 B

PIA SOMA
- Elon Musk atolewa namba moja kwenye orodha ya Matajiri Duniani | JamiiForums

Wiki iliyopita mambo yalikua hivi:
 
Ina maana mzee wetu Bill gate kapigwa chini hata top five...!!?
 
Naona bill gates amewaachia kijiti wengine wakimbize
 
Elon Musk alivyo mpenda sifa kumtoa hapo siyo rahisi ni wakati wake huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…