Elon Musk asitisha ununuzi wa twitter mpaka itakapodhibiti robots (bots)

Elon Musk asitisha ununuzi wa twitter mpaka itakapodhibiti robots (bots)

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mtandao wa kijamii wa twitter ulisema account fake/spam au bots ni chini ya 5% ya watumiaji wa mtandao huo. Suala ambalo Elon Musk ameonekana kukataa akisema kuwa bots ni zaidi ya 5% ambapo ametaja ni 20%.

Mkurugenzi wa Twitter ameshindwa kuthibitisha kuwa bots zilizoko twitter ni chini ya 5%. Elon Musk amesema watafiti wake watachunguza na watu wa twitter wafanye yao ili kuthibisha uhalisia wa bots zilizoko twitter.

Musk alitangaza donge nono la kuinunua twitter hivi karibuni.

Pia soma Elon Musk ataka kumlipa dogo aliyetengeneza bot ya twitter inayomfuatilia kila anapoenda
 
Back
Top Bottom