Mtandao wa kijamii wa twitter ulisema account fake/spam au bots ni chini ya 5% ya watumiaji wa mtandao huo. Suala ambalo Elon Musk ameonekana kukataa akisema kuwa bots ni zaidi ya 5% ambapo ametaja ni 20%.
Mkurugenzi wa Twitter ameshindwa kuthibitisha kuwa bots zilizoko twitter ni chini ya 5%. Elon Musk amesema watafiti wake watachunguza na watu wa twitter wafanye yao ili kuthibisha uhalisia wa bots zilizoko twitter.
Musk alitangaza donge nono la kuinunua twitter hivi karibuni.