Jamaa kuna madai kwamba he is not who is pretending to be. Hata ukisikia story ya jinsi alivyowapiga chini waanzilishi wa Tesla Motors na kuchukua credit kama yeye ndiye mwanzilishi utashangaaElon ni pesa ndogo sana kwake hio sema huyu jamaa naonaga amekaa kimchongo sana
Jamaa kuna madai kwamba he is not who is pretending to be. Hata ukisikia story ya jinsi alivyowapiga chini waanzilishi wa Tesla Motors na kuchukua credit kama yeye ndiye mwanzilishi utashangaa
Anawasubiria bado mkanunue Dogecoin a cashout.Jamaa kuna madai kwamba he is not who is pretending to be. Hata ukisikia story ya jinsi alivyowapiga chini waanzilishi wa Tesla Motors na kuchukua credit kama yeye ndiye mwanzilishi utashangaa
[emoji1787][emoji1787] Ndo maana anazipigia promo nini ili zipande ye a cash out atuachie hasara.
Jamaa kuna madai kwamba he is not who is pretending to be. Hata ukisikia story ya jinsi alivyowapiga chini waanzilishi wa Tesla Motors na kuchukua credit kama yeye ndiye mwanzilishi utashangaa
Sijaelewa hata ni bot gani hizi hizi tunazojua au? Kama ni hizo how?? Kwan tesla anapita majini muda wote?Elon Musk alimfuata DM dogo wa miaka 19 twitter ambaye ametengeneza bot yenye jina la ElonJet na bots nyingine zinazofuatilia location za matajiri.
Alimuuliza hizo bot zinamwingizia kiasi gani, dogo akasema kama $20 tu kwa mwezi, Elon Musk akampa offer ya 5000$ ili afute account ya bot inayomfuatilia kwasababu anaona ni kama ina affect usalama wake.
Dogo akasema labda ampe $50000 ili aweze kununua gari la tesla na abaki ni change kidogo ya kulipia masomo yake.
Elon akasema ngoja afikirie kuhusu hilo na baada ya hapo akawa kimya.
Bot ni app au prog uliotengenzwa kufanya vitu flani ambavyo mara nyingi hufanywa na binadamu mfano kutoa customer service via chating, kukusanya na kusummerize habari za mitandao maarufu, n.kSijaelewa hata ni bot gani hizi hizi tunazojua au? Kama ni hizo how?? Kwan tesla anapita majini muda wote?