Elon Musk awachukue wana CCM katika suala la kupandikiza Ubongo Bandia

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Elon Musk anaendelea na tafiti zake za kisayansi na masuala mazima ya AI. (Artificial Intelligence) Sasa anajaribu kupandikiza Ubongo kwa Binadamu ambao utaunganishwa na Computer.

Ushauri wangu. Akamate mwana CCM kwa ngazi yoyote ile kuanzia kapuku mimi hadi aliye na wadhifa. Hawa wakamatwe wafanyie majaribio hayo ya Ubongo bandia. Labda inaweza saidia mambo flani yakakaa sawa.
 
Hizo machine za Elon Musk zita-corrupt!🤣😂
 
Haya majangili yatapiga K-vant au konyangi huo ubongo uyeyuke
 
NinAI siyo "IA".
 
😂😂😂 Japo wewe ni mwansCCM uzi wako ni wakibunifu,..
 
[emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…